Adolph, Editha; Simon, Chipanda
(Journal of Kiswahili and Other African Languages, 2024-01-15)
Makala hii inachunguza mkakati wa tafsiri mkopo wa istilahi za
Kiingereza katika Kiswahili na athari zake kwa kuangazia uga wa
biolojia, fizikia na kemia kupitia vidahizo teule vya Kamusi ya
Biolojia, Fizikia na kemia ...